-->

Alikiba AMjibu DIAMOND Baada ya Kualikwa Wasafi Festival, Aonyesha Dharau, Shuhudia Mwenyewe Hapa

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Alikiba AMjibu DIAMOND Baada ya Kualikwa Wasafi Festival, Aonyesha Dharau, Shuhudia Mwenyewe Hapa

KUFUATIA jana Novemba 5, Staa wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Wasafi Media kutangaza kuwa anatamani sana kumuona msanii mwenzake Alikiba akiungana naye kwenye Tamasha lake la Wasafi Festival, Kiba amemjibu Diamond kimagumashi kwa kupost picha ya mchekeshaji maarufu duniani, Mr. Bean na kuandika maneno kadhaa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kiba amepost picha hiyo yenye maneno; ‘Thank you for listening, To my presentation’, halafu chini ya post hiyo akaandika “Your welcome”

Mashabiki wengi wamechukulia kwamba hilo ndio jibu la Alikiba ambalo wamedai ni magumashi, dharau au kejeli ya Kiba kwa Diamond kuhusu suala la yeye kushiriki Wasafi Festival ambayo itaanza November 24, 2018 mkoani Mtwara kisha kwenda Iringa na Morogoro.
Share :
Facebook Twitter Google+

Related Posts :

 
Back To Top