BREAKING: Rais Magufuli amtumbua Balozi wa Tanzania nchini Canada By dennig at November 08, 2018 Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata. Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi. Share :