-->

Mwandishi aliejibizana na Trump Ikulu afungiwa

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Mwandishi aliejibizana na Trump Ikulu afungiwa




Ikulu ya Marekani imefuta kibali cha kuingia Ikulu kwa muda usiojulikana kwa Mwanahabari wa CNN Jim Acosta baada ya Mwanahabari huyo kujibizana na Rais Donald Trump katika Ikulu ya Marekani wakati Rais huyo alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari.
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top