-->

Mwili wa Mama Mercy Anna Mengi Umewasili Nchini Kuagwa Leo Lugalo

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Mwili wa Mama Mercy Anna Mengi Umewasili Nchini Kuagwa Leo Lugalo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, familia, ndugu, jamaa na marafiki katika kupokea Mwili wa mmoja wa waanzilishi wa makampuni ya IPP Mama Mercy Anna Mengi.
Mwili wa marehemu, Mama Mercy Anna Mengi ukiwa umewasili katika viwanja vya ndege vya Mw. J.K Nyerere, jijini Dar es salaam na kuzungukwa na waombolezaji.
Mwili huo umewasili nchini majira ya saa 9 Alasiri leo Novemba 7, ukitokea nchini Afrika Kusini ambapo alikuwa akipatiwa matibabu katika hosptali ya Mediclinic Morningside ya Johannesburg na alifariki duniani tarehe Oktoba 31, 2018.

Aidha Mwili wa mama Mercy Anna Mengi unatarajiwa kuagwa kesho katika ibada itakayofanyika katika kanisa la Azania Front na kisha kusafirishwa kuelekea Machame Moshi kwaajili ya maziko Jumamosi Novemba 10 ,2018.
Share :
Facebook Twitter Google+

Related Posts :

1 Comments:

Write Comments
maceyfaidley
ADMIN

Best Casino in Washington State 2021 - MapYRO
Find the cheapest 남원 출장마사지 casino 여수 출장샵 to 군포 출장안마 gamble in Washington 세종특별자치 출장마사지 State. There are casino restaurants, sports betting lines,  Rating: 8.2/10 · ‎2,048 reviews 익산 출장샵

Reply
avatar

 
Back To Top