-->

Wananchi walivyojizindulia Daraja walilojenga wenyewe “Serikali ilisema haiwezekani”

GUSA HAPA CHINI KUPLAY VIDEO

Wananchi walivyojizindulia Daraja walilojenga wenyewe “Serikali ilisema haiwezekani”

Ni wananchi wa Kijiji cha Kigogwe kilichopo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigomawalioamua kuchanga fedha wameweza kujenga Daraja la kuvukia katika Mto Rwichebaada ya kupata Adha kubwa kipindi cha mvua na madaraja kusombwa na maji.

Ujenzi huo umegharim takrbani shilingi Milioni 70 huku mafundi wakiwalipa shilingi laki 5 na ujenzi kukamilika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kijiji.

November 1, 2018 ilikua uzinduzi wa daraja hilo huku furaha kubwa wakionyesha wananchi kukamilisha daraja hilo na kumualika Mbunge kua mgeni rasim kulifungua.
Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top